Weee usijaribu kusema wigi maana hapo unausema ukweli mchungu utachukiwa,punguza makali ya maneno badala ya kusema wigi sema nywele zakoHii imepitwa Na wakati wengi sasa mnatumia mawigi sasa labda useme napenda wigi lako
hahahahaaMhhh mpka konokono kweli
Hahahahaha kama barafu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume kwa maneno30.Tabasamu lako zuri linanifanya niyeyuke.
KabisaAchana na ubuyu wa babu issah kabisa[emoji39][emoji39][emoji39]
HahahahahaHahahahaha kama barafu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume kwa maneno
Hooo Mimi silali nakuota wewe tu sasa brother utaotaje ndoto bila kulala [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee utakuwa wa kutishaMsambwanda wako unaning'inia. Nikusaidie kuushikilia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]New Era in weaponry. Kombora la masafa marefu kutoka Tukuyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YapNumbisa, leo ni siku ya mahaba nigaragaze? Naona wamwaga mapweinti tu ya mahaba niue! [emoji23][emoji23]
Hahahahaha safi sanaHahahaa nawafundisha kuandika sms nzuri za malavidav msipate mtoso kizembe
Msomi wa HarvardJoka Makengeza ni hatari kwako!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa... Ninamwandikia hivyo anakujibu vizuri halafu anamalizia na, baby nikuambie kitu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Wana spesho power mkuuWanawake majasiri sana, utakuta siku nyingine kanazuia mlangoni eti" hakuna kwenda kuangalia mpira leo!" Alaf kanatoka huku kanapiga mkwara, "ole wako nikuone unatoka, utanitambua leo!" Ukimuangalia sasa mtu mwenyewe "kimbaumbau!" Hongereni aisee!
HahahahahaBaby nikuambie kitu - the most terrifying words from a Tanzanian lady. Ukisikia haya maneno unashauriwa kuzima simu immediately ikibidi na betri toa kabisa unless kama una 200K+ za wigi la Kibrazil...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nimemic likes[emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiongozi!
Nimekubali.
πππππ
Mungu ni Mwema tuko salama kabisa jumamosi imeanza tuko poa kabisa ni mwisho wa wiki kama kawaida tupo kwenye mapumzikoUsalama upo Kiongozi.
Nashukuru sana Kiongozi.
Ahsante sana Kiongozi.
Vipi na wewe Kiongozi?
Unaendeleaje Kiongozi?
Aisee kitu TOTALMASE na Walimbwende wa TOTAL
Ana sauti tamu sana huyu bibieKELLY PRICE