Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zuia/ Linda simu yako isipate moto kupita kiasi (Overheating):
Mbali ya kuchaji (charging), kuna vitu vingine vingi vinavyosababisha simu yako kupata moto kupita kiasi (overheating) na hivyo kuathiri uhai wa maisha ya betri la simu yako. Kwa hiyo fuata hatua zifuatazo kuhakikisha simu yako haipati moto.
 
Aisee. Mi nilikuwa nafikiria kinyume chake ndo sahihi. Mkweche wangu hapa unapataga moto balaa !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…