Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] tukae chonjo tuchek tu bro no way out
 
Kwa upande wa dawa za kumeza hakikisha unameza zote kama ulivyoelekezwa. Usiache kidonge hata kimoja!

Safisha kidonda na paka dawa mpaka kitakapokauka na kupona kabisa. Kadiri kidonda kinavyokuwa kisafi na mwili kuwa na hali nzuri ya lishe ndivyo ambavyo huwahi kupona.
 
Aiseeh!so sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…