Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana nlikuwa sifurahi bwana......
Kumbe eeehhhhh nshajua[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ntainywa hiyo dawa nikishindwa naitema
 
Shimba ya Buyenze nimjuae mimi.[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kunywa maji mengi. Kunywa maziwa mengi. Kunywa juisi nyingi ya matunda halisi.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] tangu jana kwenye chips na matumizi ya madawa,umenifanya niwe msomaji zaidi kuliko kutoa like.
Achana na LIKE zetu,endelea kutoa elimu na Mungu atakupa LIKE za kiroho ambazo zina thamani kuliko za kwetu
 
Hahahahaa imenibidi nicheke maana siku hizi naweka fupu fupi ili watu wasipate uvivu wa kuzisoma pia nipate likeeeessss. Ila likes tamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…