Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapo sasa. Tatizo hata kama angetokea mtu mwenye welewa hapo akawakanya mapema halafu la kutokea litokee naye angelaumiwa tu.

Mzee mmoja nilishuhudia akikaribia kufa kisa amekataa kumeza vidonge kimoja kimoja akidai tuvidonge tudogo mno na kwa jinsi alivyokuwa hoi kamoja kasingemtosha. Basi akapiga vitatu mweh! Ilichukua nguvu ya ziada na bahati nzuri kulikuwa na Dr family friend akaja wakaanza kumpa madawa mengine, mashine ya oksijeni na ishu zingine ndo kidogo "akafufuka"
Tunachezea sana madawa. Zamani dawa nyingi zilikuwa kwenye mfumo wa sindano kwahiyo mchezo haukuwa mkubwa kama sasa.
 
b0b4103ef59ec753a77587f867db0c03.jpg

Eeh, Masha Allah! [emoji848] Muwe na Ijumaa njema waungwana! [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom