Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kipenzi kwani nimekufa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umefufuka?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nimekumiss hadi naumwa dogo hali si poa kabisa kipenzi kwa kukumiss hukuPimbi unazingua mbaya
Ulikuwa fungate nini na yule jiran yako?nimekumiss pia dogo
Fc Basel sikupata taarifa zao vizuri. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aseno hajambo?
Za kupotea?
Tupo pamoja mkuu majukumu boss wanguWapi kichwa kichafu
Kuna vitu huwa nikikaa nikivifikiria huwa siamini hata kidogo.Aisee hakuna ambaye hajapitia hayo mambo hapo naongezea moja mengine yote tuliyafanya
Tulikuwa tunakwenda viwanja wa golf gymkhana kutafuta vipira vya golf vinavyopotea na kwenda kuchezea kama vitenesi majumbani
Kiongozi.Sijui nani katuloga
Sikuwa nafahamu Kiongozi.Pesa yetu ilikuwa na thamani sawa Na pound ndio maana hata sh 20 ya noti ilikuwa inaitwa pound
Salama Kiongozi wangu.Mkuu habari za masiku
Naam Kiongozi wangu.Kwa nini mkuu? Kwa vile tu ni ya karatasi?
Kiongozi.Yeye kwani hakuwahi kutembelea mashangingi?
Poa poa kiongozi, hujambo muungwanaNiaje mkuu
Mzee wa liver, salaam mkuuMkuu habari yako
Napenda sana PAKA.
Kuna vitu huwa nikikaa nikivifikiria huwa siamini hata kidogo.
Hivi sasa ukiniambia nijaribu chochote katika niliyowahi kuyafanya UTOTONI naogopa, na hata Mwili wangu hapa nilipo hivi sasa nikikumbuka, Mwili wote unanisisimuka.
Ujue nawaza baadhi ya Utundu, na Michezo ya ajabu ajabu niliyoifanya UTOTONI kwa hivi sasa hata Mimi mwenyewe naogopa, na naamini Watoto na Wendawazimu (Watu waliopungukiwa na Akili) Mungu anawalinda.
Yaani kama Maradhi ya ajabu, ajabu au Magonjwa ya Ngozi ningeshayapata. Lakini huwezi amini sikuwahi kudhurika hata Siku moja.
Wewe fikiria tulivyokuwa tunaokota Mabomba ya Sindano HINDU MANDAL HOSPITAL, halafu unakutana na VIBIRITI ukivifungua unakutana na MAVI yaliyoganda.
Huwezi amini, nilikuwa na kawaida ya kukusanya vile VIBIRITI vilivyokuwa na MAVI ndani yake kisha navifungasha na kuondoka navyo.
Na kuna VIBIRITI vingine nilikuwa navifungua na KUVINUSA hapo hapo kwanza kabla ya kuvibeba.
Ujue sasa hivi ndio naona ni jambo la Hatari sana kwakuwa nimeshakua, lakini kwa kipindi kile cha UTOTO hata Habari nilikuwa sina na niliona jambo la kawaida.
Maisha haya!
Halafu hapo Viwanja vya GYMKHANA tumecheza sana Mpira wa Miguu