Sina ukaribu na Andjul tena kaa mbali na mke wanguJamani jamaniii.... Mimi nimefikia ubaya wa kiwango cha kuitiwa mashahidi?
babe S ni shemeji wa mzee mwenzangu ho chi minh,lakini ni mke wa rafiki yangu mkubwa uniq.Sisi wazee watatu tunaaminiana saana.
Chonde chonde shemeji[emoji120] [emoji120] ondoa hofu kwangu.
Kuna unalo litafuta nilikuwa Handeni hujui nilichokwenda kukifanya. Haya endeleaKwa watu wenye mahusiano maalum.
Habari yako binti yangu mrembo...
Binti uliye jaaliwa hekima,busara na upendo...
Binti usiye jua kuchukia mtu
Binti mcheshi kuliko Numbisa...
Binti mpole hadi carba anakuonea wivu
Binti usiye penda machachari kama ya nsamaka...
Ha wa yuuuni wewe na uniq [emoji137] [emoji23] [emoji23]
Mpare wa kihurio salaamMBONA SIKOMIII...............
Salaam uniqSalaam Moudgulf
Hahahaha, watu watang'oana meno kumgombea wife wako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sina ukaribu na Andjul tena kaa mbali na mke wangu
"TEGO" [emoji3] [emoji3] hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna unalo litafuta nilikuwa Handeni hujui nilichokwenda kukifanya. Haya endelea
"K" haijawahi acha mtu salama[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanaume tutakuja kuvunjika shingo haki ya nani. Huyu anamlinda rais lakini hataki msambwanda umpite [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huenda naye amevurugwa na mawazo kwamba uafrika ni laana kama waminivyo wengineTiger Woods tangu aukane weusi wake hakuna mtu mweusi anayemjali wala kumtetea. Jamaa hahangaiki na mabinti weusi kabisa. Hata machangudoa wote aliokuwa anaibua wakati ule mpaka ndoa yake ikavunjika walikuwa wazungu. Hata hili la kwenda kucheza golf na Trump halishangazi !!!