Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tano, kupika kunapunguza kiasi cha sumu inayoweza kuiwemo katika chakula hicho. Kwa kawaida baadhi ya vyakula huwa na sumu. Kwa mfano, mihogo ambayo ni michungu huwa na sumu inayoitwa cyanide. Sumu hiyo, hasa kwenye kisamvu (majani ya mti wa muhogo) hupungua kama kisamvu kitapikwa kwamuda wa kutosha.