carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Aisee. Mwezi wa nne mi niko tayari tukutane sehemu moja tuuasisi undugu huu. Andjul, Carba, 'Kitoo, Yego, Moudgulf, Jirani, Numbisa...Nitalipia usafiri...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Siku tutakayokutana uso kwa uso itakuwa patashika nguo kuchanika...Mwingine huyu kaita mwanae beibi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie wazee ndo wanalea na kugharamia etiHahahahaa mbavu zangu mie
Yaani utetezi wako hauna mashikoKuwa Gentlemen kumeniaribia sana i wish ningekuwa simba mkali kama wewe bro wangu
Yaan angekua karibu yako ni full kumkata Jicho kama la riyama[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]muone anavyojichekelesha hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa angempa namba tu ya chumba sijui ingekuwaje...Kuna jamaa alimtongoza dada yake mzazi,wakakubaliana kuonana maeneo. Jamaa anasema akawa wa kwanza kufika,katika mawasiliano ya kuelekezana akaona dada ake anamfata alipo na kuondoka kimya kimya akashindwa,dada mtu kumuona akageuza huku akiandika sms kuwa wabadilishe eneo maana hapo aliposema yupo kaka ake
Kumbe ndo mana ulianza nazo tangu asubuhi eehMwambie aweke ile picha yake hizi
I LOVE YOU ZINA GHARAMA
Ni rafiki yangu (bro). Sasa kama anataka kumuoa sis mi nifanyeje?Hivi cole si nduguyo?
Pole.kwa hasira kanunue chicken wings kulaaa mpaka maumivu yaisheHaya bwana. Inauma lakini......
Bora yEye mimi kila siku hapa najisahau nataka ni upload lipicha langu kama masoud sura mbaya sijui kama mwaka utaisha salama huuNimeshaweka kabisa hapa kwenye rekodi yangu. Mwaka 2007 wakati mi namalizia shahada ya ******* Numbisa alikuwa High School...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku tutakayokutana uso kwa uso itakuwa patashika nguo kuchanika...
Kabisaaa ila kakijana kama wewe kataishia kutoa verse za nyimbo tu hahahaMwambie wazee ndo wanalea na kugharamia eti
Yaani acha tuYaan angekua karibu yako ni full kumkata Jicho kama la riyama
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nikumbushe....
Uhuru wa Numbisa. Pengine nilikuwa nautumia vibaya. Nshaanza kujirekebisha !!!
Likes zitahamia usoni!!Siku tutakayokutana uso kwa uso itakuwa patashika nguo kuchanika...
Bro, nakuamini sana. Please usiniangushe. Inaonekana una madini adimu. Yalete kwanza ndiyo ujinasue...Lile lipicha nimeshalifuta kwa sasa nina vimbau mbau tu
Halafu amkute yuko katika ile nguo ya kuzaliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa angempa namba tu ya chumba sijui ingekuwaje...
Wangekimbiana mpaka wahudumu wangeshangaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa angempa namba tu ya chumba sijui ingekuwaje...
Kijana mpole bana anatafuta makubwa yaliyomshinda mziwanda kwa shiloleKumbe ndo mana ulianza nazo tangu asubuhi eeh
Numbisa sikia huyu kijana mpole huku[emoji23][emoji23][emoji23]