Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nina long term memory ya ajabu sana. Nimekwenda kijijini huko watu hatujaonana tangu tumalize primary wanakuja kunichalenji eti ukinikumbuka nakupa elfu moja basi nawataja majina na vituko vyao vya utotoni basi wanaishia kushangaa. Nimekusanya elfu elfu kibao...Niliyojifunza katika uzi huu naweza kuyaandikia kitabu kabisa na kikauza....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe bebi wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekumbuka mbali
Yaani ukiomba chenza unajibiwa "kuishnei karega" au "nehi babuji"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uhuru wa kujiachia shemeji [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante. Mwanzoni nilidhani anatania. Vilio vilipoongezeka ndiyo nikajua kuwa ilikuwa ishu siriazi. Halafu karibia mwezi mzima sionjeshwi juisi ya chenza la Andjul kisa eti nimetupa wigi lake japo tayari nilikuwa nishamnunulia jingine. Kuanzia hapo mi na wavaa mawigi ni maji na mafuta aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu ni mwema mkuu.Pole kwa baridi ya hukoWengine humu tunataniana na mabinti zetu kabisa. Za kupotea siku mbili tatu hivi?
Amin shem[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu ni mwema. Wajibika mama,Mungu akanyooshe mkono wa uponyaji kupitia kwako[emoji120] [emoji120]
Wakati ule Big Baba, Uniq, Mchina na (kidogo) Moudgulf wakipambana kumpata Baby S. Ilikuwa kasheshe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha hii picha inanikumbusha andjul vs uniq
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya Mola wangu maisha raha sanaChenza linafikia watu kuuana acha tu,chenza taamuu
Siku mbili tatu hizi imepungua. Tunavaa hata pensi sasa bila kupata Le Mutuz' syndrome.Mungu ni mwema mkuu.Pole kwa baridi ya huko
Duh hukati tamaa jamanMi naamini nitakuona siku moja...
KabisaaaaYaaani ukichelewa kuja nakufuata piemu
Hahahhaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya Mola wangu maisha raha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]le mutuz waaaaaati??Siku mbili tatu hizi imepungua. Tunavaa hata pensi sasa bila kupata Le Mutuz' syndrome.
Elfu hizo mbona hatukugawana[emoji6] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nina long term memory ya ajabu sana. Nimekwenda kijijini huko watu hatujaonana tangu tumalize primary wanakuja kunichalenji eti ukinikumbuka nakupa elfu moja basi nawataja majina na vituko vyao vya utotoni basi wanaishia kushangaa. Nimekusanya elfu elfu kibao...Niliyojifunza katika uzi huu naweza kuyaandikia kitabu kabisa na kikauza....
HahahhaaMh!!!!