Weeeeee...shilawadu shilawaduuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi sipitwi ujue...Kuna siku malkia wetu wa uzi alirusha picha yake halisi laivu humu na kumtag prince wake Mzee wa Ini lakini nashangaa hakuna hata mmoja aliyeipakua. Kujiripua rukhsa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We naogopaAwesome
Hivi shem hukubahatika kuiona ile picha?Weeeeee...shilawadu shilawaduuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi sipitwi ujue...
Mwanaume unaogopaje?We naogopa
Lakini sio shida maana alinisaidia piahUnamkuta [emoji359] [emoji359] [emoji359]
Pole shimbaKidogo...Hasa kulingana na kibarua changu mhhhh....
Sikuwahi. Nilifanya kila juhudi kuisaka mpaka na software ya ku-retrieve lakini nikakwama....Hivi shem hukubahatika kuiona ile picha?
JF unaizira kimoja kama bibie mmoja hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mshtuko nitakao upata si wa nchi hii kwakweli
I believe siku moja mtaniona tuWeka pichaaaa[emoji23] [emoji23]
Ile nataka nitoe ushuhuda nikaambiwa "nyamaza"...Ulikuwepo bhana,sema alishtuka/alishtuliwa mapema na mzee wa forwx akaitoa ila cole sijui aliiona vile
Unakosa maksi saka pesa uje uanze harakat hahahaKama ki ben 10 je in carbas voice
Daaah sisi wanyonge mnatuonea kweliThat's what I am talking about. Kama hili yaani wikiendi nzima mnajifungia unacheza nalo tu. Raha iliyoje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hawezi kukubali moja kwa moja...ana interesti na siasa....Mzee Rutta huwa anamuweka huyu jamaa (kushoto) mara kwa mara pamoja na familia yake. Nilishawahi kumuuliza anamfahamuje lakini alinichunia. Kama ni yeye basi namfahamu.
Yaani ili wewe unikasirishe kwa mfano yani labda uninyime chenza in andjul voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Coleeeeeeee
Usikasirike bhana