Kwa kwelipoleni mlio kwenye foleni
yupo. atakuwepo tarehe 28 wakisherehekea miaka 25The Undertaker naye siku moja atakuwa The Undertaken...Naamini bado yuko hai na anaendelea ku-undertake watu vizuri tu...
Keshapata PhD ya Economics au katunukiwa ya heshima? UDMS au wapi?Aliongeza kusema kuwa mwaka uliopita uhalifu wa ajabu ulitokea ambapo kuna watoto wadogo wa chekechea walitekwa na kuuwawa ambao hawakuwa na hata shida na mtu yoyote na wazazi wao ni watu wa kawaida kabisa je serikali ndio imehusika.
“Sisi tunaoshughulika na masuala ya uhalifu tunatafuta wahalifu wanaofanya msuala ya kihalifu, kuna watu wanaona ni ajenda ya kisiasa wakati sisi tuombea mtu apone” alisema Dr Mwigulu
DKt. Mwigulu ameongeza kusema kuwa je angeamua kuendelea kusema kuhusu kupigwa risasi kwa mwanajeshi masaki inauhusiano gani na shida za kata ya mitundulini, hivyo wananchi wa singida wawaadhibu kwa kuwanyima kura katika uchaguzi wa tarehe 17 mwezi huu.
Of course....FYI there are millions of ladies around the World with good skin complexion BUT they are using foundation.
Hii haijakaa kiYego Yego...Wapi maua? Wapi mvinyo mwekundu? Wapi "Ai emu oni mai weeii?" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi wamenikata eti[emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji. Na wewe umo kwenye orodha ya wanaolipwa malimbikizo yao? Nauliza kwa nia njema kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapotea mno jamani. Ile ishu ilifika wapi?Habarini wapendwa?
Yupo madhubuti kabisaHivi huyu yuko hai ama amekufa?
Hiyo mpya ina maboresho gani? Nili-update hii version ninayotumia kwa sasa na notifications zikapotea jumla mpaka leo. Aliyeinstall hii version mpya alete mrejesho tofauti yake na hii version ya sasa...Kwa wale watumiaji wa app[emoji116][emoji116][emoji116]
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/25782523
Na utakuwa na furaha kwa sababu utakuwa umekufa kwa staili ile ile uliyoishi. Wengi huwa hatuna bahati hiyo....Ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga
Ujumbe mhimu kwetu
Ni neno zuri na lenye kutia moyo sana. Pamoja na upungufu wetu wote lakini Yeye bado Anatuita tuende kwake. Upendo wa ajabu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mama yangu anaioenda sana hii!
Ni wachache sana ambao huvuka umri huo.RIP...Kutokana na matumizi ya steroids, hawa jamaa kuvuka 60 salama huwa ni nadra...na wengi wao huondoka kutokana na cardiovascular events kama heart attacks na strokes....
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]Baby[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]Omwana
Mi naona ni yale yale tu sijaona kipya zaidi naona ile version ya zamani ndo nzuri kwangu.Hiyo mpya ina maboresho gani? Nili-update hii version ninayotumia kwa sasa na notifications zikapotea jumla mpaka leo. Aliyeinstall hii version mpya alete mrejesho tofauti yake na hii version ya sasa...
Mwakaleli haijawahi kuniangusha hata siku moja...