mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Like September 11Watu 17 waliouawa kwa kutandikwa risasi kule Florida. FBI walifanya uzembe japo walishatonywa kuwa muuaji hakuwa sawa kichwani na alikuwa ameapa kuwa lazima atavamia shule na kuua watu. Tayari watu wanamtaka mkuu wa FBI ajiuzulu...
Namkubali sana huyu jamaa....
Kwani wapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We nae, mambo mengine uwe unaninong’oneza! Wale Walugaluga wakiiona hii sasa, we subiri tu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
Mwansasu. Mtumishi...
Kunani tena?Kinondoni wameamua
True that she was real singerRIP Chibalonza. Nyimbo zako mpaka leo zingali zikinibariki...
HahahahahaLazima kuwa kirietivu aisee....
Kulikuwa na nyuzi kama 4 hivi za ubuyu mods wamesepa nazo.Mnaongelea nini wapendwa?
Mbona unafurahi peke yako mremboJeiefu sihami ng'oooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wooooiiii
Hivi leo kuna EPL jamani?
Mahakama ya mbuzi vinguMahakama ya simu
Kazi kubembelezwa tu hamna lolote. Si ajabu hata hakaumwi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We nae, mambo mengine uwe unaninong’oneza! Wale Walugaluga wakiiona hii sasa, we subiri tu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
Mbona sielewi sielewi
Tupo. Peleka hiyo "Juicy" mgonjwa apone haraka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani wapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nirudi mtaa wa pili mie[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wakati ule tena hakuna mbwembwe...True that she was real singer
Mkuu mkuu to mucha
Zilikuwa zinahusu nini?Kulikuwa na nyuzi kama 4 hivi za ubuyu mods wamesepa nazo.
Wangejua leo sijala sababu ya huo ubuyu wangenionea huruma[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Yap moro townWeekend imeanza
Soft porn...Mkuu mkuu to mucha
Acha hizo[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Uwe una screenshot na sisi wazito tuwajueWeee acha tu.
Huko mambo ni hiviii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Watu wanachafuana huko hatari.
Waendeleaje lakini na flu?