Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umewahi ambiwa pelekea mbwa ugali ukagundua hujashiba ukapita nayo kona ukajazilizia. Mi sijawahi
[emoji23][emoji23]
Duuuu, umenikumbusha mbali mkuu[emoji3] [emoji3] kuna jamaa alikua anapewa hela ya kilo 5 za nyama kila siku, siku ya kwanza alinunua, siku ya pili alipoona tajiri hakufika site akanunua kilo 3, siku ya 5 akanunua kilo 2, alipoona tajiri hafiki akawaacha mbwa siku 3 bila chakula, siku alipowapelekea chakula ile kuwafungulia tu wakaanza kumrarua. Yani ni bonge la kisanga miaka ya juzi kati[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hahahaha
 
*When you see a poor African man eating chicken it is either he is sick or the chicken was sick*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Other news is that *Its only in Africa where parents remove eye glasses to listen what you're saying*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…