mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
GaniPombe
Hahahahaha hakuna shida kabisaHuko ndani mnaishije? Mama CCM damu damu baba kamanda mwanaharakati. Hujawahi kosa chenza kwa sababu za kisiasa kweli?
HahahahahaHila = ila....
Faiza Foxy njoo huku mama. Wahaya na Wakerewe bado wanaendelea kutatanika na irabu za Kiswahili na h_. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My love miss u sanaHahahaha
Hahaaha wapotezee bhanaKwa kweli maana niliwaangushia Mitusi mpaka nikajishangaa mwenyewe walahi uwiii
Hahahaha
AmenAmun Ra my dearest
HahahahaAnapenda sana CCM sasa nafikiri amekutana na changamoto za matusi ya kwenye siasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] no commentsKule wapi?
Halafu hizi habari za Mzee wa River ni za kweli? [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
HahahahaHeeee!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hizi habari sijui mzee wa ini kazitoa wapi walah!!
Na hiyo comment sijaiona[emoji23][emoji23][emoji23]
Naweka picha laivu baadae kaa mkao wa kushangaa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Halafu sijui kwanini huniamini naumia ujue?[emoji22][emoji22][emoji22]
Tupia basiHeeee!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hizi habari sijui mzee wa ini kazitoa wapi walah!!
Na hiyo comment sijaiona[emoji23][emoji23][emoji23]
Naweka picha laivu baadae kaa mkao wa kushangaa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Halafu sijui kwanini huniamini naumia ujue?[emoji22][emoji22][emoji22]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umejuaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
Imagination zitawauwa
Hebu leta evidensi basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walah nacheka ka chizi hapa
MhhhhhhYan nilivyoona kichwa cha habar
Nimekosaa raha sababu nampenda gudume kuliko chochote kwanza anaonekana hawezi kukuumiza kimapenzi kwa sababu ameshapitia migegedo kibaoooo hakuna asilolijua
Nawapotezea my dear maana walinishusha kwenye level yao nami nikaingia line!Hahaaha wapotezee bhana
Mia mia shimba
Mchina niajeNzuri sana
Shimba jamaniHuko ndani mnaishije? Mama CCM damu damu baba kamanda mwanaharakati. Hujawahi kosa chenza kwa sababu za kisiasa kweli?
YapWiki mpya
Mguno huooooMhhhhhh