Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli mkuu kuna kipindi technology inafeli
 
Utamu wa udhalimu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahahaha shimba ISIS ni zaidi ya unavyojua kwangu kuna bond kubwa sana kati yetu
 
Halafu tukiitwa shithole na akina Trump tunakasirika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kuna mambo mengi ya msingi kama bunge kujadili sasa ishu imeangukia kwa toilet paper hahahahaha shithole Parliament in Trump Voice
 
Nadhani hii ndiyo maana halisi ya umbea. Haupaswi kuwa facts tupu otherwise unakuwa hauna ladha....
Umbea mkavu hauna ladha, ni sawa na rost ya nyama iliyomwagiwa maji. Umbea, Ubuyu, Upekepeke, Ushankupe lazima iwe kweli kidogo uongp kibaaao[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wapi Carbamazepine, wapi numbisa?[emoji3] [emoji3] [emoji3] Gonga likes kiroho safi
 
hahahahaha shimba ISIS ni zaidi ya unavyojua kwangu kuna bond kubwa sana kati yetu
Mkuu, sijapinga, sijakubali na wala siko neutral. Kuna tatizo nikionana naye mkuu? Nimekuwa nikimuita sis tangu wakati wa uchaguzi 2015 hata uzi huu haujaanzishwa japo nilikuwa namkorofisha ananitia kwenye ignore list nalia ananiondoa na safari inaendelea. Sisi tushakuwa ndugu ndiyo maana nikipita Dodoma lazima nikusake tu....
 
Jokes ndio raha ya Uzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…