Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Mambo mengine mtu inabidi ucheke tu! Sasa hapo ana accomplish nini kwa picha kama hii? GOD have mercy on us! [emoji23][emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ok sikujua mie lakini nashangaa hakikupata umaarufu mkubwa au warembo hawakujua kazi yake. Na vitambi vya baadhi ya warembo kutokana na nyama choma na masanga mbona wangekivaa hicho kidubwasha usiku na mchana ili wavikimbie vitambi vyao.

Kimeahaingia zamaan kinaitwa clochet(kama nimechapia am sorry)angalia picha za wema akiwa na umbo namba nane,huwa anavalia hako kwa ndani kanabana kitambi alichonacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…