Kuling'amua hilo...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hutakiwi kuwa na akili kuuuuubwaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jion ya kupendezaEeeee....maana inaweza ikawa kwa faida yangu au yako... Kuzimia ni kwa yeyote sasa... Hizo nginja nginja wengine zimetuharibia ndoa ujue....
Haya maisha tunayo yapitia acha tu...SorryHayupo na aliyeko pia hajui[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiran yake carba kila ukiongeacho kina maana saba saba ,mapumziko yapi jiranNumbisa...pole ya mapumziko
Nilipitia majuzi kule nilicheka saaaaana,mara akaenda Masaki,akafurumushwa na... Ile kurudi njiani nakutana na carba ameumizwa na Kichwa kichafu baada ya kuvalishwa pete ya visoda watu watatu.Mweeee hajipendi eee au kasahau mwanzoniiiiiii kuleee hahaha
...weekend watu wanachelewa kuamka. WanapumzikaJiran yake carba kila ukiongeacho kina maana saba saba ,mapumziko yapi jiran