Amin[emoji120] [emoji120] [emoji120]Huku kwema shemeji kipenzi darling. Tumshukuru Mungu daima....
Uzi huu unaweza kufanya hata kazi zikadorora aisee....Tatizo sio sis tatizo inaiweka ndan ya mabano kama umelazimishwa vile akhaaa kaa nayo hahahaha
Numb,numby,numbisa yote sawaa.
Baby itaneni na jakitoo ila hahaha kuna siku nae anaitwa sis nae anaitikia bro hahaha
Ngoja nikalale mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una nn lakini weweee kaone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bi harusi huwa hahusiki na mahari. Mila za wapi hizi?Bibi harusi kala mahari yake mwenyewe[emoji41][emoji41][emoji41]
Itabidi tuite kikao cha ukoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawafai hawa!
Na unavyowapenda sasa mh...Hali ya hewa shawishi kwa kilimo cha watoto [emoji23] [emoji23] , Wish ningekuepo darling, huku kimvua cha wastani.[emoji8] [emoji8] MY[emoji8] [emoji8]
Usilale bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ulimissika humuNgoja nikalale mie[emoji23][emoji23][emoji23]
Tumuulize kitooBi harusi huwa hahusiki na mahari. Mila za wapi hizi?
Nimeona analalamika tu sijaona videoAcha nikufuate nyuma[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ubuyu wa erick omond umeuona??
Wameshindwa kumkomesha Mange mpaka anataka kuwasha moto nchi nzima makalio ndiyo wataweza? Pathetic !!!Msanii wa filamu na mjasiriamali Jackline Wolper amefunguka na kumkumbusha Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza kuchukua hatua kwa watu ambao wamekuwa wakionyesha makalio yao kwenye mitandao ya jamii. Wolper amesema hayo leo hii baada ya kuona watu bado wanaendelea kuweka video na picha zikionyesha makalio yao wakiwa nusu uchi na kusema kuwa hilo jambo linamshangaza mpaka jasho la damu linamtoka. "Haki ya ukweli yule kiongozi wakukomesha vichupi yuko wapi, mbona bado tunaona makalio Insta au ndio sanaa kila sehemu mimi nashangaaa mpaka jasho la damu linanitoka chaaaaa" alisema Wolper
Tena mapacha[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji6]Na unavyowapenda sasa mh...
Subiri kwanza Mwakaleli aje atie neno ndo ukalale.....Ngoja nikalale mie[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona makanisa yote makubwa ni RC1. St. Peter’s Basilica, Vatican City
Hili ni kanisa kubwa kuwahi kuwepo duniani.Liko nchini Italy kwenye mji wa Roma.Lina uwezo wa kuchukua waumini mpaka 60,000. Kanisa hili la Basilica lilianza kujengwa mwaka 1506 mkapa 1626 na Michelangelo mmojawapo wa wasanifu wakubwa wakati huo wa majengo.