Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahha hapa nina kazi ila ka uzi kamenoga aah

Ngoja nikimbie nisije jisababishia majanga huku
 
Naona makanisa yote makubwa ni RC
Walitawala dunia katika nyanja zote kwa muda mrefu sana. Walikuwa mpaka na uwezo wa kuweka na kuondoa wafalme madarakani, ikiwemo kwenda vitani na kuua. Ndiyo maana kuna makabrasha ya siri kubwa kuhusu dini, sayansi, utawala n.k. yamefichwa katika vyumba vya chini huko Vatican...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mke wa mtemi
 
Tumuulize kitoo
Maaana naona kakayake analalamika hajapata mahari[emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka yake tangu lini?

Hivi "Kitoo (kama wanavyoitanaga) naye ni Mkerewe? Haka KaYego hata hakaelewi utaratibu wa kudai mahari ulivyo hapa....

Kangeniuliza mimi niliyekula mahari nilipomuoza Nsamaka kwa Andjul, Pimbi na kidogo Moud. Au nilivyokuwa namwandama Uniq mpaka alipokuja kuokolewa na Mzee Wenga....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…