Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani tangu ujilipue na kipande cha jana kwa kitoo,naona sasa ni mwendo wa kuunga mkono maamuzi yako.

"Waacheni watoto wazuri waje kwangu" asema andjul...
Kipande kile chenye hisia chanya eeeh?
Ndo kimefanya nawe ulipukiwe na shemeji?
Bila shaka ni mlipuko huishi...
Mwezi wa nne nije nione matunda yake...
Usiniangushe...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…