Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli kabisa historia ingemkumbuka kizazi hadi kizazi lakini mawazo finyu kutoka kwa wafahidhina wa Chama chake wakarob mchakato wote hile rasimu ya Warioba ilikuwa mojawapo ya katiba bomba kabisa kutokea afrika kama ingepita billion 100 zilikwenda na maji aisee kweli Shithole countries
 
Mnamo mwaka 1860 akafungua duka lingine kubwa bagamoyo na kuweka makazi yake , biashara zake zikawa kubwa na kuwa tajiri mkubwa sana. alisaidia watu wote bila kujali rangi, dini wala kabila zao, alinunua majengo mengi na kuyafanya kuwa maeneo ya watu wasiojiweza, alijenga mashule na mahospitali kadhaaa,
 
[emoji817] [emoji817] [emoji817]
 
katika mji wa mzizima( ambao leo hii ndio dar-es salaam) alijenga hospitali akaiita sewahaji hospitali ikitoa huduma bure , mnamo february 1897 sheikhe sewa haji paroo alifariki dunia, ilikuwa huzuni na simanzi kwa wakazi wa bagamoyo na mzizima kwa kuondokewa na sheikhe sewa haji aliyependwa sana.
 
baada ya kifo chake, wakoloni baadae wakabadilisha jina kutoka sewahaji hospital na kuiita princess magreth hospitali na mnamo mwaka 1963 iliitwa MUHIMBILI hospitali, na mojawapo za wodi katika hospitali ya muhimbili inaitwa SEWAHAJI.
 
Well said bro Nina mengi ya kusema wacha nisubiri muda utaongea
Muda utakapofika, kutakuwa na mwingine, naye atakuwa anaboronga kivyake haijalishi atakuwa ametokea upande upi. Tunawachukulia viongozi hawa kama wametoka katika ombwe kumbe nao ni zao la jamii na wanayoyafanya yanaakisi jamii hiyo iliyowakuza na kuwalea pamoja na kuwajengea hizo falsafa na imani zinazoendesha maisha yao na kuathiri uongozi wao. Mpaka pale tutakaporudi kwenye jamii yenyewe na kuifanya ibadili falsafa na mitazamo yake, tutaendelea tu kupata wanasiasa wale wale haijalishi kama wanatoka chama tawala au upinzani. Binafsi naamini kuwa tunahangaika na dalili tu na ugonjwa wenyewe hasa waka hatujaugusa. Ndiyo maana sina imani na mwanasiasa ye yote. They are all the same !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…