Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naunga mkono hoja angalia UAE. Kagame anafanya mazuri lakini kumbambikia kesi wapinzani hata kuwaua kwangu mimi ni doa kubwa sana. Angeacha hayo [emoji1417]

 
lakini urefu wa kichwani mpaka mkiani hufikia inches 55, kwa vipimo hivi unaweza kuona wanyama hawa ni wadogo kiasi gani kwa maumbo yao, lakini kama vipimo hivyo ni mtihani basi kukurahisishia nakwambia hivi, mbwa mwitu kwa umbo ni mdogo zaidi kwa mbwa tunaowafuga.
 
Wanyama hawa huishi katika vichaka na sehemu majani makavu makavu, hubeba mimba kwa miezi mitatu na siku chache kidogo kama atazidisha, na hawana idadi maalumu ya watoto anaozaa hapa hutegemea dume lilikuwa na mbavu kiasi gani, lakini kwa kifupi huzaa watoto wengi,
 
watoto hukaa chini ya uangalizi wa mama kwa kwa miezi mitatu na baada ya hapo huanza kujitegemea, wanapofikisha mwaka mmoja majike huanza kunusa harufu ya kuitwa mama, maana huanza kuyadondosha mate madume, kwa muonekano wao mzuri na wakuvutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…