mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mkuuBado umekanunia? Kali-realize kuwa umekanunia kakaachana na zoezi la kuaga Tanzania nzima na kuja kutuliza moto? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Myoya katia fola...ameweza kumuimbisha hadi Numbisa!!!Uzi huu raha sana.
Huku masaksafoni mazito menene marefu yaliyopita...
Huko mchi unaoenea mkononi...
Kule kuna kutwanga na kukoboa...
Humu watwangwaji....
Raha tupuuuuu !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baadaye nice song mkuu nafikiri umenipataMAMBO MENGINE BAADAE
Hahahahaha hatari sana
Mbaya kwa sababu wewe utoi likesHabari zenu mnaonipa likes
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Jamani kaache kaben10liver Changu jamani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 712479
IndeedIt’s the power of number five!
Hamna binadamu anayeweza kuishinda number tano!
Number tano ni moto wa kuotea mbali sana!
Hii battle haijawahi kutokea tena
True mkuu shithole countries inauma sanaAlikuwa jirani yake na Anodi Shwazinega. Anauza magogo na mafuta hela zote badala ya kwenda hazina zinaishia kwake. Shithole countries...!!!
Wewe na sisi pia mkuuMungu wangu nirehemu mm mwenye dhambi
Hahahahaha uwe na usiku mwema hakika hakuna wa kunitenganisha na malkia Wangu sisi soul mate tuna vingi vya kushareNiliona jana... Aiseee!!!!
Mzee wa liver alipigwa na "nimekununia" kama nne hivi...KIMYAAA.
Mzee baba ukamshitua...KIMYAA.
Numbisa akahamaki 'Masaki kimenuka"...KIMYAA.
ISIS akaamua kum-ben10 (kaben10 liver) bado ikawa...KIMYAA
ISIS aka withidroo "mnuno"... KIMYAA
Nashangaa asubuhi nakutana na AMUN RA... Amun ra[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] nikachoka mie...
Malengo yamefutika hivi hivi...
Rubbish hovyo sana lakini chaliifransiko amemjibu poa sanaRubbish..
Empty set
Jamaa alimwambia mshkaji mmoja eti akiwa mtoto mama yake alimnyonyesha maziwa ya nguruwe hahaha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hapa ni nyumba ya vicheko mkuuHuu ni mmoja wa uzi ambao huwa nacheka sana. Saa nyingine nakaa kimya kusoma ila huwa mnachekesha sana na utani wenu. Huku SYB, kule Numbisa, katikati mweke Yego bila kuwasahau akina moudgulf myoyambendi andjul Cole Williams mzee wa liver na wengineo.
Mkuu nipo bado Handeni nilikuwa mkata esperionza now Rombo Handeni let's meet mkuu jack Daniel ,vodka ,hata nyagi sio mbaya so cold hereHabari