Hakuna cha kukumbuka hapa[emoji124] [emoji124] [emoji124] ngoja nikumbuke....
Kwanini ufikirie alikubali kupigwa picha ya namna hiyo?vile nataman kumjua huyo alieleta uzi n nani... nadhan baada ya hapo ndio naweza jadili na kumchapa huyo binti kwa ku mix vidume viwil na pia kukubal kutandikwa picha
Yes. Hachomoi safari hii....Safi kbs, na akichelewa kulipa zinapanda tena.
Kula likes acha mbwembwe MpyonkoSitaki likes plz
NaaaaaaaammMnamkumbuka Muhiri Obhare...
Ushauri mzuri sana tatizo mapenzi ni upofu ukishapigwa na penzi zito baasi inakua uboya si uboya umburura si umburura tafrani tupu.Usimpende mwanaume kiasi kwamba na yeye mwanaume anajua.
Usimpe uhuru mwanaume afanye chochote kwenye mwili wako,lakini pia hata kwenye vitu vyako,hata kwenye hela zako.
Usithubutu kufunguka sana kuhusu mahusiano uliyo kuwa nayo kabla yake.
Usikubali kila wito wa mwanaume, na usiruhusu kufanya ngono kila atakapo...
"SISI WANAUME NI WA HOVYO SANA"
Nawaza hapa, niingie nyumban kwako niibe "bila kujijua" kama hii inawezekana basi hata hilo swali lako ni sahihiKwanini ufikirie alikubali kupigwa picha ya namna hiyo?
Kwanini usifikirie alipigwa bila kujijua?
Hahahaha kwann?Mh huu ubuyu nautamani ila acha tu unipite.
Mwanamke siyo victim kwenye kila incident jamani. Kwenye ishu hizi mara nyingi mabinti ni willing participants. Wakichochewa na kulegea sawa sawa kama mlenda kupigwa picha hawaoni kama ni ishu kubwa. Na wengine wanafurahia na hata ku-initiate issue nzima. Sema tatizo na ukatili wa wanaume ni pale mahusiano yakivunjika wanazivujisha picha hizi za faragha mtandaoni. Kwa Trump hii inaitwa revenge porn na ni kosa la jinai katika majimbo mengi na ukivujisha picha za mtu faraghani unakula mvua tena za kutosha tu.Kwanini ufikirie alikubali kupigwa picha ya namna hiyo?
Kwanini usifikirie alipigwa bila kujijua?