Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Elimu ya kutambua jinsi akili inavyofanya kazi (mind). Ufahamu ni kitu cha upekee duniani kwani ndio daraja lako na The Great Creator (The Universe/God) na ndipo chemchem ya mawazo inapoanzia. Mwanadamu anayeweza kujifunza jinsi akili ya inavyofanya kazi anaweza kujua mengi ya siri ambayo watu wengi wamelala na hawatambui chochote bali wanaishi kwama jamii walivyoikuta na hawana akili ya kufikiria zaidi ya wanayoyajua.
 
 
 
Dah! Sasa hiki kitovu kina nini Wakuu?

 
 
 
Aliishia wapi? Isije ikawa walimwingiza mpaka ule upande mwingine...Pole zake...
 
Elimu ya kutambua kuwa kila kitu duniani ni energy. Kila uonacho duniani ni material au vitu ambavyo ukivitazama ndani zaidi (mfano kuvikuza katika darubini kali). Energy hiyo inatetemeka (ina vibrate) katika styles tofauti tofauti na katika waves tofauti tofauti na ndio maana unaona vitu vinatofautiana. Mfano mbao imetengenezwa na Carbon, lakini ukiiview Carbon kiundani zaidi utaona Carbon imetengenezwa na chembechembe tofauti za energy. Hivyo kila kitu ni energy na hakipo kama macho yanavyotafsiri.
 
Yaani huu wimbo mie naupenda sana Mkuu. Halafu wote wawili waliimba kwa feelings za hali ya juu sana. Katika nyimbo ambazo hupenda kuzisikiliza mara kwa mara huu ni mmoja wapo. Sijui yule Jason Derulo kwanini alimbwaga mrembo kama huyu. Karibu sana Mkuu Malcom Lumumba

Hahahahaha hii kitu ilipendezeshwa na Chris...!
Thanks for sharing man.!
 
Aliishia wapi? Isije ikawa walimwingiza mpaka ule upande mwingine...Pole zake...
Bahati yake,Zile dawa zilimpelekesha kidogo afe wakamtelekeza mitaan akiwa na hali mbaya. Kuokotwa na kupatiwa tiba akaelezea hali halisi,polisi wakataka waelekezwe mahali husika ila jamaa hapakumbuki maana wakati anapelekwa alifungwa kitambaa akiambiwa ni suprise
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…