Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanariadha wa Tanzania waliopo nchini Australia wamekutana na changamoto ya kudakwa na askali achini humo wakiwa kwenye mazoezi ya kawaida kuelekea katika mashindano hayo yanayotarajia kuanza kesho Jumatano.
Mtu mweusi popote duniani ni kiumbe cha hatari. Wangekuwa wazungu wala wasingeguswa....
 
Asante sana shem[emoji120][emoji120][emoji120].
Ipo kiasi si kama juzi.

Sijui wewe?
Kwa jina la Yesu umeshapona shemeji. Hata kama huamini sema Amina huku ukiamini kuwa umeamini kabisa kabisa japo huamini kama ni kweli umeamini [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Tena una imagine mkao utakao kuwa wala hiko chakula[emoji39][emoji39],walahi!!
 
Kumpapasa makalio, mapaja, matiti mwanamke bila ridhaa yake, jela miaka 2-6 kwa ushahidi wa kimazingira. Kazi kwako jembe, usije ukasema kigogo furani ndiye aliye kuchongea dili utupwe lupango
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Atasema mahakama hazina uhuru kumbe kalikoroga mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…