mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo njiani naelekea kanisani kutoa ushuhuda.. Hii ni week ya Pili sasa tangu nikutane na binti mmoja hivi wa chuo cha MZUMBE natukapeana namba za simu.. Kila siku tunachati vizuri kabisa hata iwe watsapp tunatumiana na picha usiku.. Kinachonishangaza mpaka sasa week ya pili, huyu binti hajawai KUOMBA VOCHA WALA KUSEMA NIMRUSHIE TGO PESA. ''.. Imenishangaza mno.. Nawajua wadada wa vyuo tabia zao zilivyo.. Ndio maana naenda kutoa ushuhuda kanisani kuwa... NIMEKUTANA NA MALAIKA AKIWA KTK UMBO LA MWANACHUO.[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Wazalendo wataonekana 26/4Kubeba bendera tu ndiyo uzalendo? Huenda amepata shuka kujifunika usiku[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
HahahahahaIbada ilipo karibia kuisha mhubiri akauliza; "anaye taka kuokoka anyoshe mkono!" watu wote kimya. Tajiri mmoja akapita mbele akasema; "jamani mhubiri anauliza anaye taka kuokoka anyoshe mkono! "mtoto mmoja akanyosha mkono. Tajiri akampa yule mtoto laki 3
Akawageukia waumini akauliza tena; anaye taka kuokoka anyoshe mkono" waumini wotee wakanyosha mikono, cha kushangaza alipo geuka nyuma akakuta mhubiri naye kanyosha mkono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Shikamoo_pesa[emoji119][emoji119]
Tanzania kwanza
Hahahahaha wanasema ukiwa mwongo uwe na kumbukumbuAngeenda tu na bag lake Julius Nyerere akajifotoa..[emoji28][emoji28]
Ignore list tangu lini mkuu my Queen ameacha hizo Siku hiziSis, sioni likes zako. Nipo kwenye ignore list ama? Just checking [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️View attachment 733272
Amina mkuu[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Tuiombee nchi yetu !!!
[emoji120][emoji120]Ubarikiwe
HahahahahaLet's go Tinga tinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupiamo kapicha ndio tujue[emoji28][emoji28][emoji28], Zaidi ya kimbau mbau, sijui tunaitwaje vile..[emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hili iwejeMie nataka nione hapo palipofichwa.
Hata hili litamwacha hoi[emoji12] [emoji12][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], poleee
Nina kauli ngumu au nyepesi?
Good morning mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nimecheka sana wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika[emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji443] [emoji444][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utasikia "beibiiii nime kuhamu jamaniii"...
Uje japo "unitie machoni"....
Au nikuje huko " my"....
Baada ya muda....
"Beibiiii nikuambie kitu?!!"...
Say yes "pulzzzz"...
Nitumie hela ya saluni elfu 30 " tu"....
Baada muda tena
"Beibiiii senkyuuuu" nimetoka "mmwaaa"...
Ila tumbo linaniuma,nije hivyo hivyo?!!...
Ni tumbo la "period" tangu jana...