Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Yaani kuwa mwenyekiti ni majukumu mazito sana mara paaph ndio kafanana nae kikweli kweliUtairudisha lini hii avatar? Kusema kweli mimi nimeshachoka na hii midomo myekundu [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
View attachment 735010
Ta...ta...yaaa...tayariiiiiPyaar mwanamke
Smart ambae sio MGUMU
Nimekumiss ujue[emoji9][emoji9][emoji9]Usifanye hivyo bhana sio vizuri ujue
Daah
Tukijifunza kuwa wakweli na kukubali madhaifu yetu kama nchi tutakuwa na nafasi kubwa sana ya kuendelea. Awamu ya Tatu na Nne zilifanya kidogo tofauti kabisa na matarajio ya Watanzania.Hasa kwenye awamu ya Tatu,
Nne
na
Tano
he he he, mkuu utang'olewa kucha mkuu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kuwa mwenyekiti ni majukumu mazito sana mara paaph ndio kafanana nae kikweli kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marahaba madenge bin Biliinea Asigwa, hujambo kijanaShikamoooni wakubwa....
AlifichwaLeroy Sanè chaliiiiii
Marehemu Samweli Sitta na Mzee Mahiga si walikuwa wataalami wa vurugu pale UDSM lakini leo hii wako wapi ?? Ndiyo maana huwa nachukia sana mtindo wa kuishi maisha kama Caesar au Louis wa Ufaransa kwamba My Word is the law siyataki kabisa...Yaani tutoke kwa furaha kwenye Chama Kushika Hatamu lakini leo turudi tena kule ???Hahahahaha!
Ukishakuwa kiongozi wa watu, tegemea kukosolewa, kubali changamoto..Changamoto hujenga.
Na sio kila ulisemalo lifuatwe, hata kama lina walakini, kuhoji ni haki kabisa.
Wanaweza kushinda 4-0 mkuu? Kwenye soka inawezekana lakini mmmh, tusubiri tuoneAnawasubir Ethad
Amekosa nini jamani jaki wetu, mbona ni mpole. Au alitembelea mitaa ya povu?Tusaidiane ku-plead mods wamwachilie...
View attachment 734543
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]Pipii za kumumunya
Alipenda sana michezo ya kuchezea fedha kwenye zama za vyuma...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Usiende. Wote mtaishia kutiwa ndani. Mahabusu siyo kuzuri....
View attachment 734544
Apambane na hali yake tu hakuna namna
Siku tatu tu tayari kaondoka? Au alikuwa na ishu zingine? Apumzike salama.
August Alsina ft Pusha T-FML[emoji91] [emoji91]