Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kabisaaa unajua wengi ni wale waliozitegesha wakitegemea ndoa na ukute hata hawakua na mahusiano hai yenye upendo. Wapo waliohadaiwa kwa maneno ya mashosti zaa tu bwana ukichelewa utajikuta mzee huna watoto wewe changamka basi bibie analengesha tu
Yule wa mchina ndo special kesi jaman sijui walikua wakiongea lugha gani au ndo vile kutaka katoto afrokast
Joy bana kama anataka sifa za kisiasa hapo ana yake maana kwenye gazet la kumchamba mumewe alisema yeye ndo anayelisha familia na kusomesha watoto,so angeendelea tu kupambana na hali yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha haya[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️ Jamani, eti wanazitegesha! [emoji1]
mkongo wa mawasiliano ulikatikaUlipoteaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeona watangazaji wengi wanakimbilia kuishi Masaki,kuna mmoja namhaidi Id kapanga kibanda kwa anko analipa sh.1,400,000 kwa mwezi.Kibanda chenyewe cha hovyo tu.
Sijui wanapata wapi hela za kuchezea? Nikimuona najishiaga tu kusema "hiiiiiiiiiii" in Magu's voice
The so called prezidaa wa Kp uzi nao umekufa aiseeAlikimbia jumla. Sijui alipotelea wapi mtani wangu yule. Alikuwa anaiendesha makapuku kiaina...I hope yuko salama huko aliko..
Nilipewa ya masaa aisee dogo languHahahaha dogo ushakula ban nyingine
Kisa nini?Nilipewa ya masaa aisee dogo langu
Nitakwambia Prime MondrayKisa nini?
Saiv bana sio unahaid hapa halafu hautokei hukoNitakwambia Prime Mondray