Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ujinga wa hali ya juu huu. Huu ni ubaguzi wa kutisha. Yaani kuthibitisha uraia wako kwa kutumia makaburi!!!!? Na kama kwenye hayo makaburi kuligeuzwa mashamba au makazi ya watu basi weye si Raia!!!!

UPUUZI MTUPU!!!!
Kuna harufu ya siasa kwenye hili mkuu
Pia kuna harufu na kukomoana, na kunyamazishana kwa nguvu

Nothing else.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…