mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha kweli mkuu linabahati sanaLilifanya timing ya kufa mtu. Sijui na bahati nayo inahusika. Na mpinzani akawa na baggages kibao. Wakalidharau dharau na limevunja karibu kila standard na kanuni walizojiwekea. Republican wenyewe sasa hawajulikani hata wanasimamia nini na wamekazana tu kusema "Trump is not a republican" wakati wanamuunga mkono kwa kila kitu...
Mungu Awabariki popote walipo. Mama zetu, dada zetu, shangazi zetu, wapenzi wetu, rafiki zetu, watani zetu, wake zetu, mabinti zetu...Bila wao maisha yasingewezekana !!!Wanawake
Sikumbuki vizuri hivi naweza pata definition ya kudangaIn English
Season of love
In Swahili.
Msimu wa kudanga.
[emoji1] [emoji13]
Mnaongelea nini ili nijue kabla sijajitosa kuchangia mjadala?Atanogewaa
Shauri yake.
Watu wa muhimu sana hawa maishani !!!Maadui
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Atinge ubalozi wa China bila shaka watamsaidia....
Zamu ya nani? Zamu ya Andjul mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini mkuu upo utaratibu wa kisheria kufuata hili Mtoto apate malezi sahihi hapa ni kiki za kisiasa hakuna msaada wowote end of the day lazima mchakato wa kimahakama uchukue mkondo wake kama unataka kupima DNAMianasiasa itajuana yenyewe ila hakuna kisingizio cha kutelekeza mtoto...
Kweli mkuuZipo kila mahali...kwa viwango tofauti tofauti !!!
subiri uone mtakavyojazana ubungo terminal pale mkitokea mikoani kuelekea ilala boma[emoji23][emoji23][emoji23]Ondoka zako hapa. Hatukimbiagi majukumu sisi. Kwema?
Hahahahahahaaaa hii kaliNaonelea madem wa uzi wapige kura waamue dem mgani atatuzalia katoto ketu ka uzi halafu wanaume wapige kura waamue nani atapeana hiyo mimba[emoji1477][emoji1477][emoji1477]