Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Atakutishia kimdabuo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kimdabuo hakinogi bila wewe kuwepo...
Na Mwakaleli (in case of an emergency).....
Fantasy....

....Akili zangu hizi mhhhhh....
Nakubaliana na bro kabisa...
Uzi huu unaharibu na ku-corrupt mind sana.
Kuna vitu siku hizi naviandika hapa mpaka mwenyewe najishangaa...

Halafu najipa matumaini, hakuna anayekufahamu...
Fuata MO ya rolo modo wako......ha ha haaaaa !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…