Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sioni uwanja wowote wa London kuja kuwa na hali ile ya hewa na homa kubwa kama Anfield. Si uwanja mpya wa Tottenham unaojengwa wala ule wa Chelsea utakapokarabatiwa na kupanuliwa. Anfield palikuwa pa aina yake.
Hata Fergie anajua huu uwanja hatari sana jehanamu ya timu pinzani yaani nawatamani Madrid Waje hapa tuwape kichapo cha mbwa koko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…