Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna watu wengine huwa hawakui (kulingana na vigezo vya kawaida vilivyozoeleka na jamii). Lakini pengine hapo alipo ndipo ukuaji wake ulipogotea, au pengine ndiyo maisha aliyoamua kuyaishi. At the end of the day, ni maisha yake. Ndiyo maana kwa wengine Le Mutuz ni shujaa kwa sababu it takes guts kuishi vile unavyotaka hasa kama kuishi huko kunakwenda kinyume na amali za jamii na mategemeo yake.Siku akija jitambua na kujuta sijui ni lini hio yeye kila siku anajiona mtoto. Wema angejitambua angekua mbali sana
safiii[emoji813] View attachment 748856
Theoretically yes. In reality no!. We’re Always Innocent Till Proven Guilty. Nobody should be blamed for doing something until it is proven. When people say we did a bad thing we have the right to show it is not true.
Wapi Bob Mazishi, Kipepeo, LodiLofa, Ndumilakuwili
Kipepe kishaanguasha nguruwe pori huko...[emoji23][emoji23][emoji28], kipepe
Na kweliKuna watu wengine huwa hawakui (kulingana na vigezo vya kawaida vilivyozoeleka na jamii). Lakini pengine hapo alipo ndipo ukuaji wake ulipogotea, au pengine ndiyo maisha aliyoamua kuyaishi. At the end of the day, ni maisha yake. Ndiyo maana kwa wengine Le Mutuz ni shujaa kwa sababu it takes guts kuishi vile unavyotaka hasa kama kuishi huko kunakwenda kinyume na amali za jamii na mategemeo yake.
HuhuhuhuHahaha sawa shiro,,, ila usimwambie aloisias
Oooh! Polee sana.Huku kwema. Vere tayadi (lack of sleep) lakini kumekucha salama. Another day katika kasayari haka kazuri ka bluu. Mibaraka tele bila shaka. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahahah sawa shiro,,,nakuja hapo [emoji594]Huhuhuhu
Sitamwambia alafu ni cousin yangu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Raha sana aiseeKipepe kishaanguasha nguruwe pori huko...
Hahah
Maisha ni fumbo tata ajabu. Hata instructions hakuna. Tunapuyanga tu huku tukipapasa huku na huko...wonderful puzzle [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Oooh! Polee sana.
Ulilala muda umeenda sana??
Ama usingizi uliamua tu kupaa?
Indeed it’s your foot anyway!Sometimes Wa Africa bana tunahangaika sana!
Kwamba Yesu alikua mweusi teh teh my foot...