[emoji120][emoji120][emoji120]..Maisha ni fumbo tata ajabu. Hata instructions hakuna. Tunapuyanga tu huku tukipapasa huku na huko...wonderfully puzzle [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Watu hawawezi kuamini lakini kuna wakati gazeti la Sani ndo lilikuwa entertainment. Watu mnapasiana mabwenini huko mpaka linachakaa nyang'anyang'a. Wakati ule linatoka mara moja kwa mwezi...Kipepe kishaanguasha nguruwe pori huko...
Hahah
Bila kusahau na gazeti la Bongo mkuuWatu hawawezi kuamini lakini kuna wakati gazeti la Sani ndo lilikuwa entertainment. Watu mnapasiana mabwenini huko mpaka linachakaa nyang'anyang'a. Wakati ule linatoka mara moja kwa mwezi...
Asante na iwe njema kwako pia[emoji120][emoji120]Naona nimebaki mwenyewe tu, ngoja nikomae tu! [emoji1][emoji1][emoji1]... Uwe na siku njema!
Google!Sister unamjua Black Madonna?
Shem kwema? Siku inaendeleaje huko? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Asante na iwe njema kwako pia[emoji120][emoji120]
Hakika mkuu kipindi hicho tv chache sana, simu kama hivi hakuna basi burudani pekee lilikua ni hili gazeti pendwa....Watu hawawezi kuamini lakini kuna wakati gazeti la Sani ndo lilikuwa entertainment. Watu mnapasiana mabwenini huko mpaka linachakaa nyang'anyang'a. Wakati ule linatoka mara moja kwa mwezi...
Baadaye kukawa na Tabasamu. Yote yalikufa masikini baada ya Shigongo kuingia uwanjani. Hata Sani ilibidi wabadilike haraka na kuingia kwenye udaku...Bila kusahau na gazeti la Bongo mkuu
Maisha yapo kasi sana mambo yanabadirikaRaha sana aisee
Na wewe ushaharibika akili na uzi huu[emoji23][emoji23][emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ute.lezi uleee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Eti sura ngumu. Alipokuwa anaolewa hakujua kuwa jamaa ana sura ngumu?Mmmmh!
Jangwani hiyo dah![emoji134][emoji134]
hapo hakuna kilichobaki
Nakumbuka mkuu,,, hayo magazeti nmegombana sana na dada angu,,, kila akinunua akimaliza kusoma nkilikuta mezani nabeba napeleka shuleni,,, basi wale wana wote wa backbench lazma waje kwenye dawati langu hyo siku mapumziko ntanunuliwa kila visheti vya kufa mtuBaadaye kukawa na Tabasamu. Yote yalikufa masikini baada ya Shigongo kuingia uwanjani. Hata Sani ilibidi wabadilike haraka na kuingia kwenye udaku...
Ndo mshangae kwakweli.Eti sura ngumu. Alipokuwa anaolewa hakujua kuwa jamaa ana sura ngumu?
Me naikumbuka vizuri,nikufundishe/nikukumbushe?Maria Mweusi. Na Yesu Mweusi tii. Safi sana !!!
Maria Mama wa Mungu. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Na Yesu mzawa wa tumbo lako Amebarikiwa. Utuombee sisi wakosefu. Sasa na saa ya kufa kwetu....
(Nimeanza kuisahau hii sala dah! )
Haya kababaaHahahahah sawa shiro,,,nakuja hapo [emoji594]