Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatari kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shem umenikumbusha mbali.
Kweli muda umeenda sana.
Enzi za kuvunja mazizi ya watu.
Ugomvi wa kila big baba juu ya babe s.
Pete za visoda[emoji23][emoji23]
Kweli zile zilikuwa siku za furaha sana
 
Jana mwenzangu alinitisha. Anakaribia kukata tamaa. Tuzidishe maombi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Yes, malipo ni hapa hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Niliona nikaumia kwakweli nitaenda kwake baadaye,mtafute[emoji120][emoji120]

[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kumbe ni Zimbabwe. Nilifikiri ni hapa kwetu...
 
Filamu we uliliona?

Wahenga siye. Maandaeitini mjage tuwarithishe maarifa kabla hatujakwenda zetu kutalii katika magalaxies mengine huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo sina uhakika,sikuwa mpenzi wa magazeti mimi.
Halafu kwa mazingira niliyokulia magazeti hayo haikuwa rahisi kuyapata.

Nakuja kupata maarifa ya muhenga mie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…