Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mke wa saba duh! Kuna mijitu inafaudu hapa duniani aisee. Wengine hata mmoja hatuna. No ikwalite kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke ambaye anatarajiwa kuwa mke wa saba wa aliyekuwa rais wa Afrika kusini,Jacob Zuma amelazimishwa kujiuzulu ajira yake ya ukuu wa asasi isiyokuwa ya kiserikali na chombo cha habari cha nchini humo.
Nonkanyiso Conco ambaye ana mahusiano ya kimapenzi na bwana Zuma ambaye amemzidi umri wa miaka 52. wakati huo yuko kwenye asasi inayohamasisha kampeni ya kuwawezesha mabinti wadogo katika maisha yao ya kila siku na kuacha kuwategemea wanaume wenye umri mkubwa.
Kesho Jumanne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waaaaaiiiiiiiAnonymous for life (In Numbisa's voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tengua haka ka kauli basi hata kwa dakika tu tupate ka address ka hiyo blog[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gai bratheee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waaaaaiiiiiii
Kweli Urais mtamu
Sijui hata wako wapi ila shiro namuona anagonga likes kimya kimya.Gai bratheee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo wamepotelea wapi mabros na jomoni zao?
"Shiro sema"
"Sijambo Kasmart"
Yaani mpaka raha !!!
Hii mh!Bye bye my dear blog. Nilikupenda lakini TCRA wamekupenda zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
News Alert: - TCRA imewapa wamiliki wa blogu wiki mbili kujisajili
Hongo la nini?Sijui hata wako wapi ila shiro namuona anagonga likes kimya kimya.
Hivi shem hupokei hongo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo atafikisha sita....
We nambie tu kama wapokea ama laa,nataka hako ka address brathee[emoji23][emoji23]siriasiHongo la nini?
Ufisadi tena waiiii !!!
Ni madaraka kwa ujumla mkuu. Kwa viwango mbalimbali...Kweli Urais mtamu
Wangekuwa Waafrika wangekuwa wanapigiwa makelele balaa kuwa wanazidi kuongeza walishwaji tu. Ndiyo maana Mugabe naye alikuwa anawakoromea...Huyo atafikisha sita....
Madaraka matamu..ila kuyatumia kuna tofauti kubwa..Ni madaraka kwa ujumla mkuu. Kwa viwango mbalimbali...
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji126][emoji126][emoji126]