Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BREAKING NEWZZ!!!

SERIKALI YATANGAZA NEEMA KWA WAFANYAKAZI SIKU CHACHE KABLA YA MEI MOSI.

Raisi atangaza ongezeko la mshahara kwa asilimia 45% kwa wafanyakazi wa sekta zote nchini ambapo kwa wafanyakazi wa sekta binafsi ongezeko hilo litatokana na mikataba waliowekeana na waajiri wao.

Ongezeko hilo ambalo ni kubwa ambalo halijawahi kutokea katika historia limelenga zaidi kwa wafanyakazi wote wa wote haswa wafanyakazi wa serikali. Hatua hii ni katika kutaka kuboresha maisha ya wananchi kwa ujumla.

Akiongea na waandishi wa habari raisi amesema anajiskia faraja kuona sasa maisha ya mfanyakazi yataboreka kuliko kipindi kingine chochote haswa wananchi wa pato la chini. Hata hivyo rais huyo wa Brazil akutangaza ni lini ongezeko hilo litaanza ila ameahidi kuanza haraka iwezekanavyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
andjul na SHIMBA YA BUYENZE njoeni mumsikie ndugu yenu huku
Tangu alipouliza hili swali (ambalo mpaka leo halijajibiwa) ndiyo nilijua kuwa bro wangu ni great thinker na mtu huru sana katika mawazo na kufikiri. Ukiangalia vimisemo vyake vingi huwa vina maana ya ndani sana. Huwa hatumwelewi tu. Hata parabozi zake huwa hatuzielewi kwa sababu zipo katika level ya juu sana. Mimi nshambatiza kuwa GT wa uzi huu...!!!
 
Inawezekana kweli maana yuko deep sana na kila kitu
Ila maswali yake sasa[emoji23][emoji23]
 
Mnanaa kwa Kiingereza/Kiswahili ni mti gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…