Siku hizi aibu hakuna kabisa...Enzi zetu mwanaume akikutokea siku ya kwanza unajikanyaga kanyaga kujibu, Ooh! nawahi nyumbani nimechelewa, nyumbani nasubiriwa..[emoji23][emoji23]..Ukija kumuona mara ya pili kama hajakuona unatimua mbio kujificha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Pyaar na yeye ni andaeitini Bro? kwa ule uzi wa saikolojia na experience za ndoa kuna day alitoa hapa, mi nkajua above andaeitiniAndaeitini nawe na enzi zenu wapi na wapi? Maandaeitini wa humu mna vituko dah! Father time is there subirini tu haraka ya nini? 15 yrs itafika sasa hivi hapo ndipo mtakuwa angalau na kakredibilite kidogo ka kurejelea historia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pyaar, shimba haamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huamini eeh?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umoja na usawa wetu udumu
Likes za jioni zinaendelea kutolewa, pata,toa
Wanandoa waliopita kwenye masahibu lakini wakapuuza yote na kusonga mbele.
Nazijua sana...Hata Morogoro huko vijijini navunaga...
Mathayo 5:42Tuwasaidie wasiojiweza
Hao wazazi wanaweza wakashughulikiwa, maana hivi sasa elimu inamwagwa bure bure kila kichochoro[emoji1]
"Akuombaye, mpe; naye atakaye kukopa kwako, usimpe kisogo."Tuwasaidie wasiojiweza