Hakika mkuuWeekend imeshapiga hodi
Kashiliwa huyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] acha tusubiri tuone
Maneno ya wivu hayo, kutamba kote alikotamba bado anasumbuka na mafanikio ya wengine!!!? Maneno ya aina hiyo awaachie mashabiki, vinginevyo tutamuona ni mwenye roho mbayaRonaldo: Mimi na Salah ni tofauti kabisa mimi mrefu yeye kidogo mfupi anacheza na mguu wa kushoto nacheza na wakulia na nacheza mipira ya vichwa watu wasinilinganishe na mchezaji yoyote nachowezasema amekuwa na wakati mzuri sana msimu huu tusubiri tuone
HatariMvumo wa radi
I know thatHe is man u legend
Innah lillah......Yule mchezaji wa zamani wa timu ya Sigara ya jiji Dar es salaam aitwaye Abdurahmani Kampota hatunaye
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] safi sana SadioStaa wa Liverpool raia wa Senegal Sadio Mane amesema "nimenunua jezi 300 za Liverpool na kuzituma kijijini kwetu na hakuna mtu atakayefanya kazi siku ya fainali"
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Maneno ya wivu hayo, kutamba kote alikotamba bado anasumbuka na mafanikio ya wengine!!!? Maneno ya aina hiyo awaachie mashabiki, vinginevyo tutamuona ni mwenye roho mbaya
Nimeipenda hii, ugali mkubwa kila mtu ana concetrate ktk mboga yake, ukiwa kinyama nyama, ukiwa mla nyama baada ya kumaliza msosi, ukiwa kikomba mboga shauri yako.. Ukicheza rafu, utagaa gaa na upwa na kula ugali mkavu.Mwili haujengwi kwa mawe !!!
View attachment 786126