Mwanaume hasifiwi takoMsuli moto[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 809518
Siku mpya inaanzaJua la asubuhi hiloooView attachment 809522
AmenKaweni na siku njema wapendwa. Neema ya Mungu na ikaendelee kutufunika. Tukawasamehe waliotukosea. Tukawasaidie wagonjwa, mayatima na wenye uhitaji huku tukitambua kuwa ukuu na furaha yetu halisi; na hata maana halisi ya maisha yetu hapa duniani vimo katika kuwasaidia wengine na kueneza upendo. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tupo tumekujaNjooni wakuu
Aisee WC hii imenifanya nikose mashindano haya kuangalia Serena naona kiwango kinapungua sasaAngelique Kerber amemchapa bingwa mara saba Serena Williams na kushinda taji lake la kwanza la Wimbledon katika fainali mashindano hayo kwa wanawake.
Mjerumani Kerber anayeshika nafasi 11 kwa ubora, amemtandika bila huruma bingwa mara 23 wa Grand Slam, Serena kwa seti 6-3 6-3 katika mchezo uliotumia saa moja na dakika tano.
Si ya kukosa hii Mara moja kila baada ya miaka minneWenzangu wa kubeti, mbona mikeka ishatandikwa tu. Croatia Vs Ufaransa ndio habari mjini.
Julai 15, itakuwa ni siku kukumbukwa katika kalenda ya FIFA. Mmoja kati ya Ufaransa na Croatia ataenda nyumbani akicheka.
Hatari sanaKANTE VS MODRIC
Katika mechi ya kesho kutakuwa na mpambano mkali katikati ya dimba la Luzhniki kati ya kiungo wa Chelsea NG'olo Kante na kiungo wa Real Madrid, Luca Modric. wawili hawa mpaka sasa ndio viungo walioonyesha kiwango bora zaidi na sasa watachuana kuweka heshima na kuondoa ubishi ya nani mkali kati yao.
Leo Croatia Anabeba Ndoo Ya Dhahabu Ile
HahahahaMwanaume hasifiwi tako
[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha