Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilikuwa toilet umeme umekatika ghafla nimeshtuka utafikiri zoezi hili naliendesha kwa kutumia umeme.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Eti zoezi hili..
 
 
Hivi kuna mtu anaonja maharage??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie nilikuwa fundi wa kuonja samaki,nyama na dagaa[emoji23][emoji23][emoji23]yaani kama samaki lazima niongeze kipande kimoja cha kuonja[emoji23][emoji23]

Muwe mnaonjaga na matembele, mlenda na bwasi. Siyo minofu peke ake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wewe ni nooma[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]braza usijaribu,narudia usijaribu kuchezea nywele za mwanamke,unaweza jikuta umenuniwa mwezi mzima

Kama ulihusika/ unahusika kwenye gharama ya hizo nywele kwanini nisichezee dadake!!!!? Nitazivuruga tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…