Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe eti nimekomenti ndivyo sivyo? Ndo madhara ya kiherehere cha kukomenti bila kusoma privias komenti.
Mnisamehe bure tu
 

Mnakula vipapatio na majibu mnayo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
kamua hilo ganda la chungwa tia kwenye kijiko kimoja cha asali

Ama kausha ganda Hilo la chungwa kisha Saga
unga wake changanya na asali kisha pakaa mapajani kwenye weusi kisha kaa dk 15 osha na maji hadi kule kuganda kupotee

Endelea kufanya kila siku mpaka utakapoona imekuwa sawa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu kwema lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…