Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanahabari wa kike waongoza kwa rushwa Tanzania.

Leo August 31 2018 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu wamewasilisha ripoti ya nusu mwaka kwa haki za binadamu ambapo Mtafiti wa ripoti hiyo Fundikira Wazambi amesema kuwa rushwa ya ngono makazini na vyuoni bado ni changamoto kubwa ikiwemo upande wa wanahabari wa kike.

‘Kuna rushwa ya ngono maeneo ya kazi kituo kimeona bado ni tatizo kubwa maeneo ya kazi, wanawake ambao wanaenda kutafuta kazi, mabinti wanaombwa sana rushwa ya ngono ili waweze kupewa kazi au hata kupandishwa cheo, na hii pia imeonekana pia ni tatizo kubwa miongoni mwa wanawake ambao wako kwenye tasnia ya habari’ Fundikira.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini ni vigumu sana kumfanya mwanaume aridhike kwa sababu ya kufanyiwa ufundi mwingi.

Mwanaume hana anachoridhika nacho, mwanamke anaweza kujitahidi kufanya yale anayodhani mmewe ataridhika nayo lakini isiwe vile.

Wakati mwingine mwanaume huhitaji kufanya badiriko la kuridhisha nafsi yake tu, na hata kama ana mke mzuri na mtaalamu nyumbani hiyo haimfanyi atulie.

Kitakachomfanya mwanaume atulie ni kufanya maamuzi ya kutulia tu na si kitu kingine.

Nasema haya sababu ninao uzoefu na pia ni mwanaume.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
 
Akinyimwa kibali atalalamika? Labda Kama ana vibali vya kurusiwa kutumia injini kutoka kampuni husika au injini kaitengeneza (sio ya Toyo au bajaji) mwenyewe.
 
‪David Malelu Raia wa Kenya anayedaiwa kuitelekeza familia yake na kutoweka na Mwanamke mwingine amerudi jana nyumbani ikiwa imepita miaka 46 huku akiwa na shilingi 500 za Kenya sawa na Elfu 11 za Kitanzania mfukoni, Malelu amefanyiwa sherehe baada ya kurudi.


ila wanaume nyie,Mungu awasamehe tu kwakweli
 
Upendo wa kweli huo......
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…