carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Upendo wa kurudi nyumbani baada ya 46yrs ya kuitelekeza familia shem??Upendo wa kweli huo......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpende jirani yako
[emoji615]️ परिय,आप किस माध्यम से है ? अथवा कृपया अपना माध्यम चुनें !
-----------------------------------------------
[emoji615]️ आपण काय करीत आहात? किंवा स्पर्धात्मक परीक्षांसाठी आपण कोणत्या भाषेत तयारी केली आहे?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwetu hakuna mambo ya hatimiliki. Wampe kibali Mzee Mbanga hata kama injini ni ya Tata Motors bana. Yeye si kaunda body na kupanga viti vizuri?Akinyimwa kibali atalalamika? Labda Kama ana vibali vya kurusiwa kutumia injini kutoka kampuni husika au injini kaitengeneza (sio ya Toyo au bajaji) mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], biashara ikienda poa nitakugawia usijali... Nami nasisitiza usisahau kunigawia ulichobarikiwa na Mwenyezi Mungu, bila shaka wamaanisha busara.[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjita na msukuma kwenye hatua za mwisho kwenda kwenye "mfumuano" wa nyu-e-le...Busara? Busara na mimi wapi na wapi? Piga akili vizuri. Ni kitendawili hicho. Ukikifumbua "nakupa mji"
Ukweli mgumu kumeza ama? Sasa umezira unakwenda wapi?[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Huyo mama nimemheshimu sana. Wewe ungemtoa mkuku?Upendo wa kurudi nyumbani baada ya 46yrs ya kuitelekeza familia shem??
Tulikuwa tunaongea Kihindi mkuu. Kichina mi sikijui kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani hapo nilipo bold nimepaelewa sana,sina cha kuongezaUkweli mgumu kumeza ama? Sasa umezira unakwenda wapi?
Hujasahau ule mfumuano hevi eeh!?Mjita na msukuma kwenye hatua za mwisho kwenda kwenye "mfumuano" wa nyu-e-le...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] kyusa sina wangu mjini, acha nijirudie zangu Mwakaleli
Mimi ningemrudisha alikotoka,haki tenaHuyo mama nimemheshimu sana. Wewe ungemtoa mkuku?
Tunarudi kule kule. Kama hakuna communication ni kazi bure.Yaani hapo nilipo bold nimepaelewa sana,sina cha kuongeza
Tunarudi kule kule. Kama hakuna communication ni kazi bure.
Hoja ya Mchina ni jumuisho la jumla lakini lina vighairi (exceptions) nyingi. Tafiti mbalimbali zimethibitisha
Mwanaume wa kweliDavid Malelu Raia wa Kenya anayedaiwa kuitelekeza familia yake na kutoweka na Mwanamke mwingine amerudi jana nyumbani ikiwa imepita miaka 46 huku akiwa na shilingi 500 za Kenya sawa na Elfu 11 za Kitanzania mfukoni, Malelu amefanyiwa sherehe baada ya kurudi.
ila wanaume nyie,Mungu awasamehe tu kwakweliView attachment 852361