Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Duh!
Kweli tupuMchepuko ni nani??
Mwanamke yeyote anaweza kuwa mchepuko, haijalishi kaolewa ama hajaolewa...
Cha kushangaza huyo anayelala kila siku kifo cha mende kuna mahali anabinuka kufa kupona, na mieleka juu....Kama sio yule wa kifo cha mende awapo na mumewe....Shwainiiii kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka nikuhonge wewe tuMmmh!!
Honga wewe acha ubahiri
Uko sahihi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] alienda kutafuta pesa huyo baba, angalau baada mihangaiko miaka mingi akafanikiwa kupata sh 500/[emoji3] [emoji3] [emoji3] .hujambo dada
KipapatioKama?
Mkuu kifo cha Mende ni niniMchepuko ni nani??
Mwanamke yeyote anaweza kuwa mchepuko, haijalishi kaolewa ama hajaolewa...
Cha kushangaza huyo anayelala kila siku kifo cha mende kuna mahali anabinuka kufa kupona, na mieleka juu....Kama sio yule wa kifo cha mende awapo na mumewe....Shwainiiii kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutafuta sio mpaka upate nyingi,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] alienda kutafuta pesa huyo baba, angalau baada mihangaiko miaka mingi akafanikiwa kupata sh 500/[emoji3] [emoji3] [emoji3] .hujambo dada