Hatari sanaMAFINGA, IRINGA:
POLISI WADAIWA KUUA MTU WALIPOKUWA WANAJARIBU KUSIMAMISHA GARI.
Wanadaiwa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa kwenye gari baada ya dereva wa gari hilo kukaidi amri ya kusimama.
Walipiga risasi kwenye kioo cha ubavuni.
@Mohabbat par itna yaqeen
Amina.Asante Prof [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Nami nikienda kanisani nitakuombea. Sote tubarikiwe prof !!!
Hapo sasa. Kama we rijali halafu hupendi misambwanda...if you know you know [emoji16][emoji16][emoji16]
Kosea kujenga usikosee kuwowa [emoji16][emoji16][emoji16]
YapThose criticizing Cristiano Ronaldo seem to have very short memory. It's just three matches... Last season, how many matches did he stay without scoring? At the end of the season, how many goals did he score? And mind you, Juventus can win the league without Ronaldo. They need him for Champions League instead
[emoji23][emoji23][emoji23]Ze choseni wani....Shwaiiini kabisa.....
Anaburuta msambwax tu [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Respect RespectPEP Guardiola amwashangaa watu wanaoweka shaka kuhusu kiwango cha kocha wa Manchester United, Jose Mourinho.
Hatima ya Mourinho huko Man United imekuwa kwenye mashaka makubwa baada ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu England ambapo kikosi hicho cha Old Trafford kimechapwa kwenye mechi mbili kati ya tatu ilizocheza msimu huu, ikiwa ni mwanzo mbaya zaidi wa ligi tangu msimu wa 1992-93.
Katika kujitetea kwake, Mourinho ambaye ni mshindi mara tatu wa taji la Ligi Kuu England amekuwa akipambana na wapinzani wake wanaomkosoa kwamba anafahamu yeye ni kocha bora na itabaki kuwa hivyo, jambo ambalo Guardiola amelisapoti na kuweka upinzani wao kando.
Vipi jana usiku hali ilirudi kuwa sawa??Asante Prof [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Nami nikienda kanisani nitakuombea. Sote tubarikiwe prof !!!
Kweli jana tulizidiwa hakikaKipa Alisson, ambaye alikuwa hajafungwa bao lolote kabla ya mechi hiyo, alifanya makosa ambayo yaliifanya Leicester City kufunga na hapo kuwafanya wenzake kuwa kwenye wakati mgumu kwa sababu wakali hao wa King Power walikuwa wakishambulia bila ya kuchoka wakitafuta bao la kusawazisha. Unaambiwa hivi, Liverpool wameshinda, lakini ilibidi wapambane kweli kweli. Takwimu zilionyesha kwamba Leicester City walimiliki mechi kwa asilimia 51, wakipiga mashuti 12, matano yakilenga goli, huku Liverpool wao wakicheza rafu nyingi uwanjani, mara 12, wakipiga mashuti 10 na manne ndiyo yaliyolenga goli huku wakikaa na mpira kwa asilimia 49 ya mchezo wote.