carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
@Yegomasika ukuje hapa kona ulipe bili ya savanna 3,nyingine nalipa mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]Hewalaaa nasubiria kwa hamu shost,kunywa tatu bili kwa poti
Imekosewa mkuuKiwete? Mkuu, ni typo au makusudi? Mr. Dhaifu huyu sasa hivi analiliwa na wapinzani. Maisha mzunguko ati !!!
Potiiii kamu thisi weyi Yegomasika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]@Yegomasika ukuje hapa kona ulipe bili ya savanna 3,nyingine nalipa mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio siasa ilivyo mkuuKikwete was a gentleman. Aliwaita mpaka ikulu wakaenda kufakamia chai na bado wakamwita dhaifu. Politicians [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 870027
Lakini nimejifunza kwamba hii ilimfanya jpm kupiga marufuku siasa za majukwaani kwa sababu hapa ccm ilikuwa inaelekea kufa maana upinzani hasa chadema walipiga oparetion nyingi sana za siasa zilizofanya wananchi kukipendaKikwete was a gentleman. Aliwaita mpaka ikulu wakaenda kufakamia chai na bado wakamwita dhaifu. Politicians [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 870027
Enzi....Kikwete was a gentleman. Aliwaita mpaka ikulu wakaenda kufakamia chai na bado wakamwita dhaifu. Politicians [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 870027
Umri ukipita hakuna namnaFather time. Hata wababe hawa nao wamehengeka !!!View attachment 870213