mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Jibu lako lipo hapa, Mzee wa liver.Aisee hivi kweli wananunuliwa ama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natamani siku moja mkutane nae nami niwepo pasipo kujua kuwa ndiye uniq, hiyo shikamoo ya unyenyekevu mtakayo itoa mtanifanya niwafukuze kwa bakora za matakoni hadi kwa vivulana vyenu.
Hatupumui!!! Shwaini zenu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeona eeeh!
Humu unaweza kujikuta unatukanana na hata kutongoza mtoto wako kabisaa
Poti muulize uefa jumatano matokeo ngap ngapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ombeni jukwaa lenu basi andikeni "vibabu na vibibi forum" [emoji23][emoji23][emoji23]Mna fujo sana, hata mkikuta mada za kikubwa mnavamimia na kuzimwagia povu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nimefanyaje?Wapi carb...
Ombeni jukwaa lenu basi andikeni "vibabu na vibibi forum" [emoji23][emoji23][emoji23]
Rushwa kila eneoRushwa ya ngono ni tatizo acha ashughulikiwe
If you die,you die[emoji124][emoji124][emoji124]
Mbili bilaSunday, Bro!
View attachment 887729